Je, Bikra yako ulitoa ukiwa na umri gani?!
Wiki hii nilienda kuchukua ubuyu Sinza, nikawa nimekaa bar namsubiria mleta ubuyu, pembeni yangu walikuwa wamekaa wanaume 6 wanapata msosi wa mchana,
BWale wakaka wakawa wanaongea kwa nguvu sana nikawa nawasikia, kaka m1 akasema nani yupo wapi leo mbona sijamuona?
Mwnzake akajibu, ah yule leo hajaja, unajua majuzi alivunjwa bikra na yule demu mcharuko wa Mbagala, yule dada zoa zoa wanamwita Fatuma Ndala Ndefu!
Wakaongea kwa muda mrefu sana huku wanachekaaa na kutaniana, mmoja akamwuliza mwenzie, kwani wewe bikra yako ulitolewa lini?!
Kaka wa 1: Mimi ilikuwa darasa la 6 na monita wa darasani
Kaka wa 2: Mimi darasa la 7 nilivyomaliza tu shule nikaondoka na kiranja wa shule, wale wadada waliokuwa wanajielewa mapema kabla ya wenzao
Kaka wa 3: mimi form 2 na dada wa form 4
Kaka wa 4: mimi form 1 na mwimba kwaya wa kanisani kwetui
Kaka wa 5: mimi form 4 na mwalimu wa biology boarding, wenzake wakashtuka heee! mwalimuuu! wakaanza kucheka
Kaka wa 6: mmh! Mimi hii michezo nimeanza late sana, nilianza form 6 na mtoto wa mchungaji, nae alikuwa bikra basi ni taabu tupu wite tunaenda kama gari bovu, huyu akienda kushoto mimi naenda kulia, huyu akienda kulia mimi naenda kushoto, ni mambo ya puuu puuu paaa paaa waaa waaa ila niling'atwa hatari
Wote wakaitikia kung'atwa lazima kama unamtoa dada bikra ila wa 1-4 wakasema wao hawakuwahi kung'ata mwanamke walikuwa wanatoa macho kama mende amebanwa na mlango
Kaka wa 5: mimi nilijidai mbabe wa mechi kumbe sijui kitu, basi nikawa napiga tu fuku fuku fuku fuku mwee nikastopishwaaa, baada ya siku 2 nikakaa sawa
Samahani kama nitakuwa nimekuboa mpenzi msomaji,
Embu tuwe tu wakweli, je bikra yako we ulitoa ukiwa na umri gan na ukiwa wapi na nani alikutoa?!
Mimi yangu nadhani bado ipo... muhahahahahahahaha ( in Monstress voice),
0 comments