MTAANI LEO: WAREMBO WA 4G VEPEE?

  • July 22, 2017
  • By Money Penny Tz ~ Stories
  • 0 Comments







Leo nimeletewa Ubuyu na mkaka m1 anasema niwaambie akina dada kuwa


"Wanawake wa karne ya 21, warembo wa 4G wanatambulika kuwa WASAFI SANA"

Kuna jamaa alimpata beibe Facebook, wakakutana live,wakaamua kutoka out ili kuendeleza penzi waliloanzisha kwenye mtandao wa kijamii (social media).

Wakakutana kwa hotel, waka do vizuri tu wakalala, Asubuhi demu kuamka hajamkuta jamaa akajua labda yupo katika kukaa na kujikagua akakuta nywele zake za chini hazipo!

Kumcheki jamaa hayupoo, Jamaa alipohojiwa akasema mimi nilikutana na msitu kwenye CHIU ya demu, nikashangaa, kuona mwanamke mrembo kama yule anakosaje kujiweka safi mpaka anakuwa na msitu namna ile!? Kwaiyo akaamua kumnyoa.

Ndio sikumwambia, na wala sikufanya kwa sababu za kichawi au ushirikina hapana nilitaka kumfundisha somo kuwa wanawake wa karne ya 21 ( wa 4G) huwa ni wasafi!

Jamani ndugu zangu huku mitandaoni, mnaochukua wanaume mitandaoni na unajijua we ni msichana wa 4G, mazingira basi weka safi, msituaibishe ooo!

Ni hayo tu kwa leo, ngoja niende kwa youtube ni kaangalie viewers wanasemaje mie.




You Might Also Like

0 comments

all rights reserved - Money Penny Tanzania | Designed by EDUMEK SYSTEMS