MTAANI LEO: BIKRA YAKO ULIITOA LINI?

  • July 25, 2017
  • By Money Penny Tz ~ Stories
  • 0 Comments








Wiki hii nimeshinda sana Sinza, yani nahisi wiki ijayo ntakuwepo pia maana sinza nako kuna ubuyu hatari


Sasa nikawa nakula bar, pembeni yangu wakawa wamekaa wanaume 6 wanakula lunch me kama kawa naandika stori namsubiria mtu anipe ubuyu.

Basi kaka m1 akasema nanii hajaja leo unajua, kwasababu majuzi alivyunjwa bikra na yule demu mcharuko, yule dada zoa zoa wa mbagalaaa!

Wakaongea weee kwa muda mrefu huku wanachekaaa na kutaniana, mmoja akamwuliza mwenzie, we bikra yako ulitolewa lini?!

Kaka wa 1: mwe mie darasa la 6 na monita wa darasani

Kaka wa 2: mie darasa la 7 nilivyomaliza tu shule nikaondoka na cheer leader, wale wadada waliokuwa wanajielewa na kujisomaa mapema

Kaka wa 3: mie form 2 na dada wa form 4

Kaka wa 4: mie form 1 na mwimba kwaya

Kaka wa 5: mie form 4 na mwl wa biology boarding, wote wakacheka

Kaka wa 6: mmh! Me nashindwaaa, mie form 6 na mtoto wa mchungaji, nae alikuwa bikra basi ni puuu puuu paaa paaa waaa waaa sheedah lakini niling'atwa hatari

Wote wakaitikia kung'atwa lazima kama unamtoa dada bikra ila wa 1-4 wakasema wao hawakuwahi kung'atwa na mwanamke walikuwa wanatoa macho kama mende amebanwa na mlango

Kaka wa 5: mie nilikuwa napiga tu fuku fuku fuku fuku mwee nikastopishwaaa, baada ya siku 2 nikakaa sawa

Samahani kama ntakuwa nimekuboa ,
Embu tuwe tu wakweli, je bikra yako we ulitoa ukiwa na umri gan na ukiwa wapi na nani alikutoa?! Ahahaha

Me yangu nadhani bado ipo... muhahahahahahahaha ( in Monstress voice)



You Might Also Like

0 comments

all rights reserved - Money Penny Tanzania | Designed by EDUMEK SYSTEMS