MTAANI LEO: WAPENZI WA PICHA NA VIDEO ZA NGONO...
- July 14, 2017
- By Money Penny Tz ~ Stories
- 0 Comments
Juzi kati nilikutana na shogangu hapo Mcity, akawa yupo bothered!
Analalamika:
Money Penny nina mpenz wangu tunapendana sana sana sana
Lakini huyu bwana me simwelewi kabisa sikuhizi ni kama mapenzi yangu kwake yamekufaaa, huu ni mwaka wa 2 na wa mahusiano lakini yupo addicted na picha za ngono (pornography)
Na tukifanya mapenz naona kama simridhishi, nikaamua kum join kwenye sekta ya ngono, akawa ananifanya kama wanawake wa kwenye video za ngono ndio anaskia raha namwona kabisa ameridhika
Lakini money penny mimi haya mambo ya ngono na mapicha yake hata siyapendi kabisa ila kwasababu nampenda niliamua kujitoa sadaka
Tukaangalia porn kwa muda wa miezi 6, baadae nikabamba meseji zake ana chat na mwanamke mwengine (side chic) wanaonyeshana picha zao za utupu na yule mwanamke anamshukuru kwa mechi iliopita anamjaza ujinga kichwani anamsifia bwana wangu yani tabu tu, nilichoka nikaskia kutapika nikakimbilia chooni kutapika!
Haya mahusiano ya miaka 2 hapana asee, ndio nampenda sana huyu bwana lakini sijui nafanyaje tena?!
Kuchanganya mapenz na mambo ya video za ngono (porn) kumeniulia mahusiano yangu hata sielewi wanaume huwa wanataka nini lakini?!
0 comments