MTAANI LEO: SHUGA DADDY

  • July 18, 2017
  • By Money Penny Tz ~ Stories
  • 0 Comments






Nimekuwa buzy na kuandika story ila watu hawaishi kuniletea zao!

Shogangu: Money Penny buana nimekamatika vbaya mnoo au sijui nimekamatwa au nimejikamatisha

Kuna mzee mmoja, ana miaka 60, aliniona mara 1 tu nikiwa job, basi kila week lazima aje pale ofsini. Akifika tu anaomba nimchajie simu yake mara apige umbea mara hiki mara kile vitu havieleweki kabisa!

Siku ya siku uzalendo ukamshinda, simu ilipoletwa kuchajiwa nikapitishiwa ikaja na kinoti, nikakibana kwenye kiganja nikakimuvuzisha kwenye pochi.

Kufungua kinoti nakuta namba yake ya simu na elfu 20,

Nikampotezea sikumcheki, wiki iliofuata, ilo sinema lake niliomba poo nilifukuziwa mpaka nikabadilisha route za home, mzee alizoom ruti zangu zote mpaka nikahisi ni polisi raia

Mwishowe nikamsikiliza, wimbo ukawa ule ule vi date vya hapa na pale baada ya wiki tukagonga mechi! Ila mzee mbovu balaa, yani mimi tu ndio nashughulika yeye kakaa kama gogo la kifalme, nikampagawisha mechi 1 nikamkimbia, tangu hapo amekuwa stalker hatari, simu zake sipokei, nikitoka kazini yupo mlangoni, kaniganda kama ruba, nimemkimbia lakini wapi, nikimkwepa wiki hii wiki ijayo yumo!

Sijui namfanyaje?! kusema kweli me simtaki kwa sababu moja tu penny, unajua raha ya mechi wote mridhishane, sasa ukiwa unafanya kazi zote mwenyewe kama house maid ni ngumu! Na kumweleza nashindwa maana tume date week 1 tu

Afu sio kwamba ananihonga kiiiivyo kusema nikae walaaa, vi laki 1 kwa wiki vi elfu 20 sivikosi, kila sehemu tupo level, kasoro kitandani tu!

Haya wadau humu, embu msaidieni shogangu hapa

You Might Also Like

0 comments

all rights reserved - Money Penny Tanzania | Designed by EDUMEK SYSTEMS