MTAANI LEO: BWANA WANGU ANA DYUDYU NDOGO KAMA REMOTE YA DSTV

  • July 23, 2017
  • By Money Penny Tz ~ Stories
  • 0 Comments






Unajua wa Tz mnavisa sana jamani, ivi mnataka mimi nicheke au mnanitafuta ubaya na Muumba? Ujue sijamaliza kuzaa jaman mniache mniache Mniaaacheeeeeeee.

Jana wamekuja ndugu home kunisabahi, sasa katika kuongea ongea wakaanza kunisifia wenyewe kama kweli, Ah we money penny chizi sana unaandikaga nini kwenye website yako na JamiiForum?! Yani zamani tulikuwa hatujui kama ni wewe tukatamani kukuona ulipoandikaga ile post ya money penny ni nani lakini kufungua website yako toba kumbe ni wewe tulicheka, dah we dada wewe basi tu.

Andika kitabu basi, you are the next Daniel Steel in Tz, mtaani majeraha na demand kibao, utauza hasa demand za relationship and how to figure out men!

Ndugu1: Speaking of Men, me nina langu la rohoni hapa naomba bibie anisaidie, ukishindwa waandikie viewers wako wanisaidie.

Si unajua issue yangu ile iliotokeaga Money Penny ya mahusiano yangu, nikaamua nikae single mpaka nipone right?!

Money Penny: ndio nakumbuka, ila umekuwa single for sooo long, 3 yrs maam?! Yani ushakuwa Bikra kabisaa

Ndugu 1: basi miezi 3 iliopita nikakutana na mjeda mmoja, akanifukuzia wee,  usungura kibao, nikaamua nimskilize maana kaonyesha kuwa anaweza ku-level na mimi
Nikamsikiliza nikamkubalia ombi lake, tukaanza dating za hapa na pale, kila week, simu kila siku, outings za weekends, hotel kubwa kubwa, kanipeleka na kwake, kanionyesha anapofanya kazi, mubashara kabisa, kwakweli nimempima kwa mambo mengi yupo fresh tu, kasoro sehemu moja ndio naumwa kichwa!

Basi baada ya miezi 2 tukajikuta tunachukua mahusiano to the next level, siku moja tukaenda dinner tukamalizia show home kwake, chaaaa! Huwezi amini katika romance za hapa na pale, akafungua suruali toba nakuta ana dyudyu ndogo kama remote ya Dstv! tena ile remote ya DSTV ndogo zile deki za sasa hivi sio zile deki za zamani

Nikachokaaa nikamwambia baba kavae basi condom chooni mimi najitengeneza tengeneza hapa kujiweka sexy na nini, akaingia chooni mimi nikakimbia.
Mpaka leo sijaonana nae tena, ananitafuta namwambia nimesafiri, mara naumwa, simu nazima... hapa nawaza na kujiangalia huu msambwanda huu na ile remote ya dstv dah naona tunachosha tu.. sijui nafanyaje Money Penny, afu jamaa ananitafuta balaa non stooop!

Money Penny: unampenda?!

Ndugu 1: hata sijui tena, nahisi mapenzi kwake yameyeyuka baada ya kuiona ile remote ya Dstv, maana ukimwona kijana kapanda lakini chini dah!

Haya viewers, nisaidieni hii kesi ya nyani, Remote ya Dstv vepee hapo? Amrudie au amkimbiee?

You Might Also Like

0 comments

all rights reserved - Money Penny Tanzania | Designed by EDUMEK SYSTEMS