MTAANI LEO: WANAUME MADOMO ZEGE

  • July 17, 2017
  • By Money Penny Tz ~ Stories
  • 0 Comments





Leo nimeona niulize watz wenzangu dunia nzima wanaosoma hapa



Miaka ya 1995, nilipataga mabwashee 2, walikuwa wananipenda sana alafu wanajuana


Bwashee 1: alinipenda sana ila alikuwa mdogo kwangu kwa miaka 5.. akanizoea kama dada dada kumbe dada mdomoni, akaona kuniingia kunitongoza hawezi, akawa ananitumia wanaume watu wazima (gonjwa langu), basi akiwaleta wengine wanavurundaaa, mechi sitoii nawaektia wanaenda kumlalamikia mwanamke mwenyewe hajisomi miguu hafungui

Akanitaftia bwashee wa no 2, alikuwa mkubwa kwangu miaka 15, huyu jamaa alinipenda Hatarious na mie nikamkubali vbaya mno, akawa yupo tayar kuniona, siku anatangaza nia bwashee no 1 akaja juu oh me huyu demu wangu na nene me natoa macho siri ikatoka ngumi zikapigwaa me nikawaachia wasamaria wema wawaamue

Kiukweli sikuwahi kuwaona wale watu tena sijui waliishia wapi, me nikaolewa na bwana mwengine, ila we keep intouch kwa simu (hehe afu wapo huku wanasoma)

Swali langu ni, ivi wale wanaume madomo zege bado wapo?! wale ambao
Wanakupenda sanaa ila kukutamkia hawawezi?!

hehe...

You Might Also Like

0 comments

all rights reserved - Money Penny Tanzania | Designed by EDUMEK SYSTEMS