SHIKAMOO Wabongo!
Basi mwezi uliopita, nipo zangu buzy na simu, pale kibo Complex nachat chat buzy na simu
Mara mtu akadondoka inbobo, Oh! DADA Penny naomba msaada wako
Penny: nambie mami
Mtu: Da Penny nilikuwa na shida samahani kama nitakuwa nakukosea heshima au nakukwaza, nina shida ya kupata sponsor
Money Penny: Sponsor kivipi tena mami? una shida gani?! (hapo nimeshamwelewa basi tu nazuga)
Mtu: mtu wa kunipa raha za mechi na nini alafu awe ananipa na hela, maana nimechoka kukimbizwa na hawa vijana wadogo wanakuchooosha alafu unaondoka na buku 2, yote inaishia njiani kwenye nauli, nashindwa hata kununua sabuni ya kuogea!
Money Penny: du! Mdogowangu una miaka mingap?! Umesoma mpaka wapi?
Mtu: 20 Dada, nimeishia kidato cha nne
Money Pennny: si urudi shule mami ukaendelee na masomo, hawa wanaume wana karaa sana we kasome kwanza haya mambo ya raha huwa yapo tu mpaka unazeeka mpaka unaingia kaburini yapo tu
Mtu: ah me shule ishanishinda dada yangu, sasa hivi nawaza mechi tu hamna material itapanda kichwani, ni dushe tu limenijaa kichwani
Money Penny: eh! pole sana, lakini unajua mimi siuzi watu, sina danguro wala hao sponsor hata sijui nawatoa wapi! alafu unajua wewe bado mdogo sana, nakushauri usome kwanza ukisoma ukawa na kazi yako wanaume watakuja kama mchele au mvua utakuwa unawachagua unaowataka kama unavyochagua mchele!
Mtu: najua da penny lakini navyokuona na stori zako unazoandika naamini unajuana na vibopa! we ukipata mtu niunge nae, nataka mtu mzima wa miaka 42 kwenda juu sio chini ya hapo!
Money Penny: mami hao wote unaowataja wameshaoa sasa itakuwaje labda?!
Mtu: me sina neno we walete tu, namba yangu 071. ... ...
Money Penny: nikajisemea moyoni, du! tigo tena? majanga! nikaamua kumblock tu maana isijekuwa kesi bure!
mawasiliano yalipoisha, sikudanganyi roho iliniuma sana mtu anatelekeza elimu kwa dushe?! Kiru shetani shindwaaaa shindwaaaa!
ivi kwani Masponsor waliendaga wapi mbona wanasakwa sana sikuhizi?!
hehe, the struggle is real mtaani ee?! Hela hamna basi taabu tupu, watu wanaona bora wa volunteer kwa ma sponsor!...
na maisha yalivyo magumu, wapenda ngono watakufa na genye zao, nani anaetoa hela ovyo ovyo mtaani labda sikuhizi labda?
ndio maana wanaume wengi huwa hawatoi hela baada ya mechi, wanaishia kusema nalipia nini labda wakati starehe na raha tumepeana wote?kiru!
- Mimi kuna kitu ambacho sielewi kuhusu wabongo, kwanini lakini starehe ya wabongo wengi huwa ni ngono tu?! watu wanaendekeza sana ngono kuliko maendeleo, akyanani!
na maisha yalivyo magumu, wapenda ngono watakufa na genye zao, nani anaetoa hela ovyo ovyo mtaani labda sikuhizi labda?
ndio maana wanaume wengi huwa hawatoi hela baada ya mechi, wanaishia kusema nalipia nini labda wakati starehe na raha tumepeana wote?kiru!
oi, kama unamjua sponsor yoyote tumsaidie mdogo wetu akasome sio vinginevyo...maana sikio la kufa limekataa dawaaa ...
0 comments