MTAANI LEO: MR PUSSY

  • June 30, 2017
  • By Money Penny Tz ~ Stories
  • 4 Comments



Mr Pussy!

Mr Pussy ni mwanaume ambae anapenda kuzama baharini, yeye ulevi na starehe yake ni hio tu 

Sijui kama ulishawahi kukutana na mtu kama huyo, hata mimi bado, ila kuna mtu kaninong'oneza hapa ananiambia Penny wale majamaa wamerudi tena!

Hawatumii jombaa zao kabisa, wao hucheza na midomo yao alafu hawapendi mahusiano, hawa majamaa wakikukamata hautakaa umwachie, wanajuaaaaa wanachokifanya wapo kama ma expert, utadhani wachawi wale majamaa!  Akikupa raha mara moja utamwita mwenyewe sikunyingine...Kibongobongo wanajulikana kama wataalamu wa kuzama baharini! 
wakija kwa msichana wanajitambulisha kama Mr Pussy, wewe utadhani ni utani au wanazingua kumbe wana maanisha! 

Hasa wanapenda kukaa Triple 7, Kempinski, Holiday Inn na Ramada hauwezi kuwakosa hapo!

Hawana shida kuwarudia wanawake, ila kwasababu wabongo wanapenda mitarimbo sidhani kama wana wateja wengi sana wa sekta yao! 


Swali langu ni kwamba, je ukishaanza nao alafu wakaondoka inawaathiri vepe wateja wao?! Maana kitu addiction ni ngumu sana kuikwepa, habari ya mjini sasa hivi sio Marinda tena ni Mr Pussy, kwa wale waliokisha kutana na hawa viumbe naombeni mtujuze kwa undani zaidi na jinsi ya kuwakwepa! 


Ngoja Leo niende Triple 7 nikawashangae hao wanaoitwa Mr Pussy! huenda nitapata stori ya kuandikia kitabu kabisaa 😂😂😂 sio kwa drama hizi

You Might Also Like

4 comments

all rights reserved - Money Penny Tanzania | Designed by EDUMEK SYSTEMS