MTAANI LEO: MWANAUME AJIFUNGUA MTOTO

  • June 22, 2017
  • By Money Penny Tz ~ Stories
  • 2 Comments


 Kama kuna mwanaume aliemwumiza vibaya mwanamke huku duniani na mwanamke akaamua kuiambia jamii nzima jinsi alivyoumizwa, huyo mwanamke Mungu Ambariki lakini ni soo, mpaka hurum! 

Ndio wanaume walivuruga sana mama zetu, dada zetu huko nyuma, lakini kwanini dhambi ya kumvuruga mwanamke ni mbayaaa?! Bora umvuruge mnyama kuliko mwanamke 

Wazungu wanasema one woman's trash is another man's treasure! 

Na kwasababu Trash haijawahi kusafishwa, ndio hio inayoleta matatizo kwa wanaume, hivi leo wanaume wanalia wanawake wa kuoa hamnaaa, wanawake wanapenda helaaaa, wanawake hawafugiki wanapenda mteremkoo. wanawake hawajatuliaaa hii yote ni kwasababu mjinga mmoja wa kiume alimwumiza mwanamke m1 na sumu ikasambaa mpaka kwa vizazi vya 5 ndio akina mimi na wewe 

Nchi za ulaya ya Europe akina Norway, Finland, wanaume walianzaga michezo ya kuwaumiza wanawake wanawake wakaambiana buana, ikafika mahali wanawake wakagoma kuzaa, miaka ikasogea serikali ikaona nchi yao haina wazawa, wakafanya Urafiki wakaambiwa wanawake wamegoma kwasababu hii na hii na wanaume ndio chanzo kama hawatabadilika hatutazaa Serikali ikaweka Beijing pale ikawasikiliza, sasa hivi huwezi cheza na mwanamke wa kizungu, hiyo punishment yake utajutaa kuzaliwa mwanaumee 

Nawaombeni wanaume wa kiTanzania mliobaki mjirekebishe, mbadilike otherwise mtakuwa mnalia tuuu hamna wa kuoa hamna wa kuoa mpaka Yesu anarudi nyie kazi zenu ni kujipiga bao tu mwisho wa siku unakuwa shoga (bwabwa/mchelemchele), kwisha habari yako! 

No man is an island, inafikia tu point unataka kuoa lakini kwasababu ulivuruga unakosa kuoa mke mzuri unaishia kupata design ya uliowavuruga mwanzo afu unalalamika, Kiru! 

Kwasababu ya Drama za Wanaume kuwa nyingi, nchi za ulaya wanawake waliamua kuwagomea wanaume kwa ahabari ya uzazi, kugoma kushika mimba na kuzaa watoto, mpaka imepelekea wanaume kuamua kubeba mimba wenyewe... bonyeza video hapa chini kuweza kujionea



You Might Also Like

2 comments

  1. Kazi nzuri. Ushauri wangu mdogo, unapoandika tumia 'font' inaitwa 'helvetica' size 14, space 1.15, kila aya itengwe kwa space kisha justify maandishi. Kuona sample ingia www.mwalimumakoba.blogspot.com.

    MUHIMU ZAIDI, ZITENGE AYA KWA SPACE.

    KAZI NZURI.

    ReplyDelete

all rights reserved - Money Penny Tanzania | Designed by EDUMEK SYSTEMS