MTAANI LEO: WAFEKISHAJI MISHINDO!

  • June 27, 2017
  • By Money Penny Tz ~ Stories
  • 0 Comments




Mshindo ni neno la kiswahili, kidhungu wanaita Orgasm!

Wazungu wanasema, "It's better to fake it  than be alone"
Mfano: unapata bwana mzuri supuuuu, handsome, wa ukweli, mkija kwenye mechi bwana mwenyewe zerooo, inaboa ee?!

Kitandani mbovu, Hajui anachokifanya, anakupanda panda kama farasi wa mashindano ya marekani yale ya kubeti, kitu kuchu kuchu kuchu kuchu! hiiiiiiiiiii haaaaaaaa! 




Wanawake wengi sikuhizi wengi wanapenda sana kuwafekishia mabwana/ hawara zao kitandani kwa kulia, ilimradi bwana amalize fasta akojoe akalale, kiru! 

Tena ili msichoshane baada ya mechi, wanawake wengi wa mjini, wanaamua kuvimbisha vichwa mabwana zao! 
Yani baby wangu wee ni noumer sana, dah yani leo hii umenimaliza nguvu kabisa, hakuna kama wewe, utadhani Yesu anavyosifiwa kumbe hamna kitu, zerooooo! 

Basi lipenzi lenyewe likitoka pale linajiona dume kweli kweli.... kumbe mbuzi kama sio mchele mchele shenzy type!

na ndio maana mitaani kuna wanaume ambao hawajui kitu ikija kwenye swala zima la mechi na michuano, sasa usiombe ukampata zero wa mechi, yeleuuuwi utalia! 

Na hivi wanawake hawapendi kuwaua mapema watoto wa kiume, na mambo ya kugombana ovyo! Bora akauawe mbele na wale wasioweza kufekisha wale wasema ukweli, akija kujua ukweli anachoka mwenyewe lakini wewe halijakuchachia!

Ndio maana mademu wengi wanaamua kutembea na mibaba, namaanisha watu wazima wa umri wa miaka 48 mpaka 60.
Sasa kumbe wafanyaje kama vijana wenyewe hawajui cha kufanya 

Ningeshauri vijana wetu watulie na Wajomba zao, Baba zao, Kaka zao wakubwa wapewe mbinu,  tulizen ball mehn!

Mnatuletea ubishoo mwiiiingi na kujiona akina 50 cent sijui Kanye west, yoyoooo waaaaaah kibaaaaao, ubraza men mwiiingi na huku kwenye ma grup yetu ya whatsapp ndo balaaa, ujuaji mwingi kwenye mitandao kumbe ni sheedah!

Ila wanawake wenzangu wana moyo! aki unajuaga mimi siwezi kabisa kumfekishia mwanaume?! kwanza unaniboaje kwenye kupata raha!? lawzy service naendeleaje nayo labda?! kiru! usiombe ukutane na mimi, utajuta! 

KERO yangu ya leo ni hii tu, ngoja niende kwanza kwa Mangi nikapate moja moto moja baribi!

Kiru!

Shikamoo MSHINDO!

You Might Also Like

0 comments

all rights reserved - Money Penny Tanzania | Designed by EDUMEK SYSTEMS