MTAANI LEO: WAREMBO WA 4G

  • June 29, 2017
  • By Money Penny Tz ~ Stories
  • 0 Comments



WAREMBO WA 4G NI WADADA WA KISASA!

NO OFFENCE, wadada wa 4G ni wazuri sana, wanajua kujiremba wanajua kuji-represent, wanajua miziki yote duniani, hawajui kuchuna wanaume, wanajua kupanga wanaume anaweza akawa na wanaume 3 mpaka 5 alafu wote hawajuani, wanajua kushinda kwenye mitandao ya kijamii, wanajua movies, wanajua wanajua wanajua!

Ila katika kujua jua wamesahau sehemu moja tu inayowafanya watofautiane na wanawake wa zamani, nayo ni UCHAFU!

Wahenga walisema Old is Gold New is Glittering, sasa naamini!

Juzi kati nilikuwa naongea na rafiki zangu wa kiume 3 wakawa wanalalamika watoto wa sikuhizi, watoto wa 4G bwana sio kabisa, ndio maana swala la kuoa linatupa shida sana, maisha yao sio halisi ni ya kufirikika!

Ps: hao marafiki zangu ni wale waliozaliwa miaka ya 1975-1985

Marafiki zangu: mademu wa sikuhizi WANANUKAAA! Huko sehemu zao za siri, tunakutana na uvundo balaaa! Sijui hawaogi au hata hatuwaelewi.

Rafiki wa 1: kuna siku nilipataga mrembo m1 bwana, kwenda nae gheto mambo yakaenda vizuri ila tulipoanza mechi kha! nilichoka, ananukaa vibaya sana mpaka hamu ya kuendelea nae ikaisha kabisaaa, nikampa elfu 20 akaondoka sikumtafuta tena Nikaamua kum-block kwenye simu na kwenye maisha yangu!

Rafiki wa 2 & 3: Penny asikwambie mtu, hapa Dar es salaama sijui wanawake tunaowapata ni mashetani au binaadamu, unajua kuna siku tulipata mademu wakali, sasa hapo wamefuga makucha kama mashetani, hizo nywele sijui zinaitwa Peruvian hair, makeup wamejisiliba za uswahilini kule wako kama mizimu iliofufuka!, tukasema leo hapa hapa ngoja tudandie boda boda, tukazama kwenye starehe baadae wakalengeka tukachukua hotel posta mjini, tumeenda vizuri penny kila mtu na room yake, mambo ya romance na nini, kuja kwenye mechi sasa tobaaaaaaa ni sheedah, tulitamani kuondoa ila tunawaza elfu 70 zetu za hotel room zinaumaaa, ivi Penny ushawahi kula msosi nje ya choo? si unaona harufu ya choo na kula msosi karibu na choo inavyokera ee? basi ndio sawa na kwenda kula mechi na demu alafu umkute anavyonuka sehemu zake za siri! Basi sikuhio tukaamua kukunja roho tukaendeleza gemu shingo upande, ila kuzama baharini hatukwenda, sio kwa harufu zile Penny, 

cha kushangaza zaidi, kila tukiingia ndani kutoka tunatoka na mauchafu na mamaji yanajaa jaa chini ya kitovu, Penny mpaka tunamaliza gemu, sehemu za hao mademu zimeshajaa bahari ya shamu, ni sheedah watoto wa 4G!

Money Penny naomba uwasaidie wadogo zako bwana, hawajisafishi vizuri huko chini inafika sehemu hata fleva yote ya kuwarudia inaishaaa.. 

Sisi sio wapare lakini zile hela za chumba zilituumaa sana bora tungewabutulia kwenye magari na sio hotelini.. kweli kila kinachong'aa sio dhahabu!

Washauri waache kukaa kwenye mitandao na kujipiga picha mapicha na kuuza sura na kujibadilisha rangi kuwa weupe, maana demu instagram na facebook anaonekana mweupe lakini ukimkuta live ni mweusi kama chokaa, wajifunze kuoga kwanzaaa, wengine wana ma fungus zimevunda unajiuliza huyu dada anamiliki iPhone 6+ anakosaje hela ya hospital ya kutibiwa?!

Rafiki wa 3: Hii ni shida kwenye jamii, Ukiona wanaume wanaongea ujue wanakerekwaaa imekuwa too much, kuna madada wa mjini kibao hawaogiii, labda wanajipiga passport size lakini huku sehemu za za siri hawajisafishi kabisaa 
Mimi ningekuwa mwanamke ningewekeza kwenye kutengeneza machine yangu kama njia moja wapo ya kitegauchumi cha maisha yangu, maana hio hio machine inaleta watoto duniani! 

Na wanaume tulivyo huwa hatusemi wala hatuwaambii, sikuhizi tunachokifanya ni kuamua kuwageuza kinyume na maumbile yao tunawadanganya tunapenda nyuma zaidi ya mbele kumbe wananuka, hawajui tu! Penny hamna namna, hamna kabisa!

Unajua Penny, tukitembea na wale wanawake waliozaliwa miaka ya 77 mpaka 85 hatukutani na hivi vi mbwanga? ! Tena wanakuwa watamu balaaa! Unamkuta mdada ameza watoto 3 lakini mtamu kulikooo, utadhani bikra, alafu wananata balaa

Ila hawa 4G kha! Kwanza hata kuongea mengine aibu, ila kero yetu penny ndo iyo! Naomba uwafikishie wadogo zako tuikomboe jamii! hii mitandao itawauaaa! sijui ndio ulimbukeni au hata hatuelewi!

Jaman basi kama mlivyoskia wanawake wenzangu ndo ivyo tubadilike, wakati naadithiwa niliskiaje aibu!

 ...KIRU!

NGOJA NIENDE KWA MANGI NIKAPATE MOJA MOTO MOJA BARIDI!

You Might Also Like

0 comments

all rights reserved - Money Penny Tanzania | Designed by EDUMEK SYSTEMS