MTAANI LEO: WANAUME WANAOFEKISHA FYUCHA

  • June 28, 2017
  • By Money Penny Tz ~ Stories
  • 0 Comments



B. WANAUME WANAOFEKISHA FYUCHA KUPATA WANACHOKITAKA SASA

Wanaume wengi wana tabia moja, hii sio mjini tu ni nchi nzima na Africa nzima, wanapenda  kuwabutua wale wanawake ambao wapo single

Wanadhani kumwaminisha  mwanamke au kucheza na HISIA za mwanamke alie single, zinamfanya huyo mwanamke ajiskie vizuri

Ki uanaume wa naona ni kama wamemsaidia mwanamke, kumdanganya na kumwaminisha wao wakiwa labda wameoa au wapo kwenye mahusiano imara

Lakini ukweli ni kwamba sisi wanawake hatuhitaji kupetiwa petiwa kwa muda mfupi, sisi sio petrol Steshen gari ikiisha mafuta mnakuja kuwekwa,  wanawake wana hisia, wana damu, wana akili, sio maroboti jamaaa na wala hamuwafanyii wanawake favor kwa kuwadanganya

Sasa michezo ya sikuhizi ambayo ipo mtaani, ni kwamba wanaume wanawaaminisha wanawake kwa kutumia neno "TU"

Mfano: Tutafanya
Tutakwenda
Tunakula
Tunaweza
Tutaoana
Nitakuoa

Neno TU limewapoteza wadada wengi sana nchini, hasa wale ambao wapo desperate ( eh kiswahili cha desperate sikijui jamaa)

Wanawake kibao wameingia mngeke na wanaume wengi wamewaacha solemba na maumivu mioyoni na wengine wamepigwa PAPUCHI zao mpaka zomedhoofika miaka nenda rudi wakisubiri neno TU litimie!

Lala na mimi Tutaoana
Beba mimba yangu Tutaoana
Sinunui mbuzi kwenye gunia mpaka Tulale wote

Na wengine ukiwaulizifuta shida ni nini? Wanakwambia:
"Aliniahidi tutaoana
Aliniahidi tutafanya hiki  na kile lkn wapi
Aliniahidi atanipeleka vacation"

Ladies wake up and smell the coffin!

We men are asshole - wanaume wanaopenda kutumia neno Tu - ni matapeli na wapigaji na wabutuaji a.k.a akina BUBAAA

Habari ndo iyo!

You Might Also Like

0 comments

all rights reserved - Money Penny Tanzania | Designed by EDUMEK SYSTEMS