SWAHILI STORY: SUNDAY SPESHO

  • June 22, 2017
  • By Money Penny Tz ~ Stories
  • 0 Comments





Nimejiskia kujitolea kwa imani yangu, Imani ya KIKRISTO!

Mimi mazingira yangu yote yalikuwa ni kanisani, nimekulia kanisani, mtoto wa kanisani, wengi wenu mnaonifahamu mnaniitaga JESUS FREAK, I dont mind!

Hivyo kila Jumapili, nitakuwa nawaletea mambo mbalimbali yanayohusu kanisa, wanasema Yesu ni mtamu kama Sega la Asali, tutayaona hapa hata kwa videos 

karibuni sana

PS: 
Wale ambao hampendi kwenda kanisani, puleees msitafute sababu ya kukesha na LIVE CHURCH hapa, 
Utamu wa ngoma uingie ucheze, Utamu wa Kanisa Hudhuria!

Haleluyah Wapendwa?



25th JUNE 2017

NENO: KEEP YOUR CROWN 
PASTOR JOEL OSTEEN



 


2nd July 2017

Okie dokie another Sunday special 

Samahani leo nilikuwa buzy na utamu wa Yesu

Mambo yalikuwa kama hivi





  





Nawatakia j2 njema wote
G9t
___________________________________ 


9TH JULY 2017

HELLOW ZA J2 WAPENDWA?

sUNDAY SPESHO YETU Y7A LEO NI YA HUYU pASTOR, AMEWAITA WANAOVAA MIWINI NI MBUZI SIO KONDOO

NAHISI PASTOR HUYU ANAPENDA VIMINI!

AHAHAHAHA


PART 1









PART 2

BABU ANAHUBIRI WOKOVU


____________________________________ 

16/7/2017

kwa wale waliodoji hawajaenda kanisani kwa sababu moja au nyingine, karibuni sana mpate mahubiri ya leo







mahubiri



____________________________________

23 JULY 2017

Kwa wale ambao hamkupata nafasi ya kwenda kanisani, karibuni mahubiri ya leo


  



KWA WANAWAKE KARIBUNI HAPA




You Might Also Like

0 comments

all rights reserved - Money Penny Tanzania | Designed by EDUMEK SYSTEMS