USHAWAHI KUJAMBA MBELE YA MPENZI WAKO
mpenzi anaweza akawa mume, mke, mzazi, Kaka, dada, mdogo wako
Kama ni bahati mbaya au makusudi vyovyote vile ilivyokuwa wewe unajua
Watu wanasema kumjambia mpenzi wako ni mbaya sana kama wewe ni mtoto wa kike
Kwanza ni Tabia mbaya! Ndio tulivyoambiwa na kufundishwa na wakubwa wetu
Sijawahi kuelewa kwanini, huenda ni kasumba tuliokuwa nayo sisi wanadamu
Lakini mpenzi wako ( wa kiume ) akijamba hamna shida!
Binadamu wote si tunajamba? Kujamba si njia mojawapo ya mwanadamu kupumua?! Sasa ubaya unatoka wapi?!
Je ni kweli kuwa inaboa (turn off) kwa mpenzi wako kama utamjambiaa?
Kuna shogangu alikuwa amepumzika na mpenzi wake, sasa walipoamka asbh good morning good morning kibao, si akamjambia!
Mpenzi wake akashtuka! Heee umejamba au? Shogangu akawa anaona aibu!
Anasema tangu siku hio, mpenzi wake amekuwa kama yupo mbali nae (distance), haelewi tatizo lipo wapi? haijawahi kumtokea kabla ila kwake ilikuwa bahati mbaya! ananiuliza je ni kwasababu alijamba siku hio au?!

Ingekuwa ni wewe ungemsaidiaje shoga wangu?!
Wewe ushawahi kumjambia mpenzi wako?! Tupe kwa ufupi experience yako hapa chini kwenye comment
0 comments